Baada ya kuzagaa kwa tetesi kuwa Dk. Shika amefilisika na kisha ametelekezwa na ana hali mbaya kwa sasa. Global TV imezungumza na aliyewahi kuwa meneja wake,Catherine Kahabi, pamoja na mambo mengine, kulikoni Dk Shika kuwa hoi kiasi cha kukosa mahali pa kulala ilihali alikuwa na MABILIONI? Meneja amezungumza...

VIDEO: