H.BABA afanya interview  ya kufungulia mwaka adai Diamond Platnumz anaroho mbaya sana , adai alimchukua Babu Tale ili Kuua Kundi la TIP TOP ambalo lilikuwa hatari sana, Pia amesema alimchukua Mkubwa Fella Kuua Kundi la  Yamoto Band


Msikilize Hapa VIDEO: