Diva ameandika haya hapa chini kupitia ukurasa wake wa Instagram kumjibu Diamond Platnumz aliyesema kuwa Diva aliomba kazi Wasafi TV

"Tamko na sitafuta hili ..Zilianza nilimtaka mtu akakataa mtu ambae sio level yangu na sijawahi mtamani sababu nilimuona akiwa ananuka jasho ...incase yal don kno nshamuandikia sana caption za english back in the days @ommydimpoz shahidi ... nilimsaidia sana with Promotion zake for free , it was a win win help me i help back thats it .. i highly don respond to ungrateful bastard in ma life but let me set it straight ... hizi Post zangu za Harmo Money zinawachanganga sana kwan huwa nawataja watu majina 🤭👋 sijawahi omba kazi katika maisha yangu mimi sehemu yoyote i guess im lucky huwa nafatwa .. Ima cloudsfm babe for life iv been raised there afu niko very loyal i get everything jaman nafata nn sehemu zingine Pale ni home , naumwa nalia nna matatizo they quickly take care of me i love them to death, sorry Ruben My bro naomba ntoe la moyo leo sifuti mtanisamehe .. besides uongo mwisho chalinze unatuma sana watu waje tukana ila me situngishiki Ima very strong lady so lini nikaomba kazi? au ni screenshot v2 nikupe kiki mi nafata nn apo bob .., mi sina tamaa ya maisha .. sababu namba ya tigo yangu iko wazi siku zote naitaja public watu walishawahi ata tengeneza chat sijui za mambo gan sijawahi shtuka .. kwanza mi na we tuko sawa mzee mwenzangu usijishushe age 😂😂so which is which nilikutaka ukakataa au nini ni nini ?? niliwahi kujibu public we si level yangu mi sio demu wa mjini anagongwa na kila mtu yan we si type yangu yan siwez kulalwa na we ata kwa fimbo una u primitive flan ivi , sikupendi sababu ya misifa ya kijinga kutengeneza kiki na kutokuwa na shukuran na kusahau ulipotoka thats thats .. plus huna adabu adabu huna kabisaaaaa .. usinisingizie or sambaza uongo yan nakuonaga takataka tu wewe na huwez niajiri we nani mpaka uniajiri... ni yako hio sehemu? last time checked kwanza ulisema ukinipata kwa hio sehemu ntanyanyua radio na tv sababu im so damn good on air .. vere sory me sihamishwi na hela ya vitu vidogo im a human i have a very grateful heart .. btw n you kno thats not yours right so danganya toto ... ningetaka ningewasiliana na mmiliki and you know exactly what im talking about ntokee apa, sorry guys but hii sitaifuta for Profesional reasons ..." Diva