Diamond Platnumz atakuwa Juu Milele, Ukiangalia vitu alivyofanya ndani ya Tasnia ya Muziki vinaonesha kabisa kuwa ameutoa muziki kutoka sehemu Moja mpaka Level nyingine labda Akifariki Ndio atatokea Mwingine wa Kuziba Pengo Lake ~Diwani Baba Levo