Nadhani mtakubaliana na mimi mwanamama Zari umaarufu wake hapa Bongo umeanza kufutika; she is no more talk of the town, same to Hamissa Mobetto, washaanza kuwa old skulz.

Nadhani either kutokana ugumu wa maisha, Wabongo wanasugua vichwa namna ya kupata mkate wa kila siku, au wingi wa matukio ya kisiasa.

Lakini kubwa nadhani ni kutokana na Diamond kuacha kabisa kutupiana tupiana vijembe na hawa wanawake, maana umaarufu wao ulikua unapitia kwenye mgongo wake