"Niseme tu ukweli mtu kama Aslay ni msumbufu sana. Kwenye masuala ya kupanda ndege anachelewa...yuko Slow kidogo anaumwinyi fulani hivi. Ukiona simu zinapigwa asubuhi asubuhi unajua Aslay kafanya tena huko. Huwa ananiweka roho juu hadi nimuone eneo la tukio"

Ni B Dozen akieleza shughuli inavyokuwaga ngumu wakati mwingine katika kuratibu masuala ya wasanii.