Mpiga picha wa C.E.O wa WCB Wasafi Media Diamond Platnumz ambaye pia ni Director Lukamba ameeleza na kusema kwamba kati ya wanawake wote wa Diamond Platnumz ambao amefanikiwa kufanya nao kazi Zari ndio alikuwa msumbufu sana.