Dkt James Wakibarwa kamishna wa uhifadhi mamlaka ya usimamizi wanyama pori Tanzania TAWA akiangalia kifaa kitacho tumiwa wakati wa kukabiliana na ujangili.

Moja ya kifaa kati ya vifaa vilivyotolewa na shirika la uhifadhi wa mazingira dunia WWF katika mamlaka ya usimamizi wa wanyama pori TAWA kwa ajili ya kuhakikisha wanakabiliana na ujangili wa Faru na tembo katika pori la Selous.