Hatimaye Esma Aonesha Mkono wa Mtoto wa Diamond na Tanasha, Amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram na Kuandika haya:

"Oooh Nishakumiss sasa twin ake Dangote , sijui nirudi maana Aunty Yuda Nishakumiss Thatha"