Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ametangaza siku 3 za Maombolezo ya Kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa kwanza wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe.