Sasha Khassim amesema ni kweli magari mawili anayomiliki ni yake akiongeza kuwa la kwanza alilokuwa akionekana nalo alipewa na mama yake mzazi na jingine amepewa na bwana'ke wa Sasa ingawa bado hana mpango wa kuolewa Na jamaa huyo kwasasa kwani yeye bado ni mwanafunzi wa udaktari yupo busy na masomo hataki mambo hayo !