Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa akizungumza na wanahisa waliojitokeza kupata mafunzo ya uwekezaji kwenye soko la Hisa yaliyotolewa kupitia Vodacom. Mafunzo yalifanyika jijini Dar Es Salaam leo.
Sehemu ya wanahisa waliojitokeza kwenye mafunzo ya uwekezaji kwenye soko la Hisa yaliyolewa na Vodacom, mafunzo yalifanyika jijini Dar es Salaam leo.