Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeishuruku serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuinga mkono timu ya Taifa Stars dhidi ya Burundi