Tamasha la Jamafest 2019 linazidi kunoga huku wasanii na vikundi mbali mbali vya ngoma vikijitokeza kushiriki kwa ufasaha kwa nchi za Tanzania ambao ni wenyeji, linashirikisha nchi za Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi. Tamsaha hilo lililoanza Septemba 21 jijini Dar es Salaam linatarajiwa kumalizika Septemba 28, 2019.