Chama cha Soka Italia kiliwatunuku Beji ikiwa ni sehemu ya heshima kwa washindi wa tuzo za msimu uliopita, miongoni mwao ni mwanasoka bora wa msimu uliopita, Cristiano Ronaldo.

Kisichotarajiwa mshambuliaji wa Juventus, Ronaldo amekataa kuvaa jezi yenye beji iyo sababu ni kutopenda kuonekana yuko Juu, kuliko wachezaji wenzake wa Juventus.