Ni Headlines za mwimbaji wa Bongo Fleva, Alikiba ambae Sept 19, 2019 alikaa kwenye mahojiano katika kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM kinachoendeshwa na mtangazaji Diva Loveness.

Miongoni mwa walioyozungumza ni hii Alikiba ameyajibu kwa wanaosema alimpiga kibao baada ya kuchelewa kurudi nyumbani, bonyeza play umsikilize

VIDEO: